Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230

Nimefurahi sana kwa ushindi wa jana wa Wydad Casablanca dhidi ya mamelodi, mafundi wa Morocco hao katika jiji la Casablanca, Wydad 2-1 mamelodi

Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja Casablanca hawastahili kucheza mashindano ya Afrika, kwa wale wanamichezo na si mashabiki watakua wamenielewa, kwa wale wanaoshabikia kwa kigezo cha uafrika/Rangi, mada hii haiwahusu, wakae pending.

Asilimia kubwa ya watu duniani wanawachukia waarabu, japo sio wote, so kwanini uwachukie!! Wamekosa nini hawa watu!!. kuna msemo unasema, "Mti wenye matunda hupigwa mawe" tukubali tukatae waarabu wanajua mpira, wanajua kuucheza mpira watakavyo, hata uwachukie vipi huwapunguzii chochote, ndio kwanzaa wanapeleka🔥🔥🔥 najua asilimia kubwa ya mashabiki wa huku wapo upande wa Mamelodi, sasa mtu huyu kweli utajadiliananae vipi kwenye suala la mpira!! Ni kupoteza muda tu. Huyo mamelodi ni nguvu ya soda tu, many times hafiki kokote, end of the day anatolewa na mnae mchukia/mwarabu, waliobarikiwa, hawatumii uchawi/ushirikina.


Anaejua anajua tu

Not Racism
Tukemee ubaguzi, chuki, roho mbaya na wivu.
 
Waydad hana mpira wowote wa maana.

Raja casablanca na Al ahly wanacheza mpira mzuri kuliko waydad.

Waydad ana bahati ya kufunga magoli tu. Ama kupiga faulo za kukuchonganisha ujifunge mwenyewe.

Nafasi ambazo Al Ahly amezitengeneza kwenye mechi zake AFL angezipata waydad hao Simba ama Mamelodi angepigwa kipigo cha Yanga.

Waydad hajui kutengeneza nafasi nyingi. Nafasi chache anazozipata anazitumia vizuri ndio maana huwa anafika mbali
 
Waydad hana mpira wowote wa maana.

Raja casablanca na Al ahly wanacheza mpira mzuri kuliko waydad.

Waydad ana bahati ya kufunga magoli tu. Ama kupiga faulo za kukuchonganisha ujifunge mwenyewe
Jitahidi Sanaa,,kuficha Ujinga Wako!!
 
Uo ndo mpira wao na ndo falsafa yao uwezi kuwaona na pass nyingi lakini ndio mabingwa mara tano wa africa ngazi ya vilabu ao raja ni kama Dortmund ujerumani , mpira ni science sio kucheza cheza bila mpango. Chelsea amechukua uefa mala mbili kwa mpira wa ovyo tu lakini wali win arsenal na mpira mzuri wa Wenger walistruggle sana ataa kufika kucheza fainal mala kwa mala. Mpira ni una mengi sana bro ili ushinde mataji
 
Mi nirudi kwenye hii point ya chuki
Ukweli ni kua hakuna mtu anachukiwa eti kisa ni mwarabu na wapo basi ujue kuna sababu na si bure
Nizungumzie kwa hapa afrika
Kwa muda sasa warabu wanekua hawa pendwi hapa afrika kwa sababu wao pia hawa ipendi afrika yaan wao wako hapa ila wana jiona kua sio Part ya hili bara na uko kwao kuna ubaguzi mkubwa sana kwa wafrika weusi
Uarabuni namanisha wa kazkazin mwa afrika mpak leo wana tuchukulia watu wa daraja la pili
 
Kwangu mm Raja ndio timu inayocheza mpira mzuri kati hao wote!!
 
Akili za madrasa hizi, kama Waarabu wanajuwa mpira mbona hawajawahi kuchukuwa world cup?
 
Kama Yanga, au siyo?
 
Wanaujua mpira kuliko Ulaya na Amerika ya kusini? We ni poyoyo tu huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…