Nisiwe mnafiki, Wydad na Raja casablanca hawastahili kucheza soka la Afrika

Waydad huyu huyu ndie aliemtoa Mamelodi kwenye caf champions league semi final mwaka huu 2023. Pale pale south africa mwechi ya marudiano waydad alipata magoli mawili.

Waydad anajua sana kucheza na Mamelodi
Nakubali kabisa, alimtoa lakini haikuwa wepesi.
Na mpira si kama njia ya tembo kwamba ya mwaka jana ndio mwaka huu.

Ngoja tuone mpira utatupa matokeo gani.
Ila nategemea game nzuri sana pale south afrika.
 

Umeongea kimwana michezo haswaa, kujiamini, kuwa na msimamo pia
 
Wengi hawawapendi waarabu, ila tukubali tukatae wanajua mpira, mshabiki na mwanamichezo hawawezi kukaa sehemu moja, so wengi wapo kishabiki na kuingiza ubaguzi na udini
wapi nimetaja ubaguzi dini? au wapi nimeandika siwapendi waarabu?
Kwahiyo kusema bado zamu yao Africa kusini ndio siwapendi waarabu/dini?
Acha hizo hisia aisee zikitawala ubongo wako utapata sonona bure
 
Hivi Wydad Casablanca na mamelodi Nani anacheza soka Safi?
 
Jana walinifurahisha saana, yaani mpira hauwatoki miguuni, pass zinafika zinakotumwa hatari saaan
 

Mbona unajichanganya mkuu! Kama unapata nafasi 1 unafunga. Si Afadhali kuliko anayepata nafsi 20 na hafungi Hata goli moja?
 

Ni mawazo yako tu, binafsi nawaona waarabu ni watu peace kuliko jamii yoyote duniani
 
We jamaa umeandika nini hapa?
 
Mkuu sikatai ubora wa Wydad ila Mamelodi kama wanavyojiita the Brazilian wanafurahisha kuwatazama.
 
Kuna mtu alisema timu za bongo haziwezi kushinda against timu za North Africa sababu wao wanaona fahari kufungwa na waarabu sasa naanza kuelewa.
 
Mkuu sikatai ubora wa wydad ila mamelodi kama wanavyojiita the Brazilian wanafurahisha kuwatazama .

Uliangalia game iliyopita ya al ahly?
Uliangalia game ya wydad na mamelodi?

Pia brazil wana maajabu gani kwa sasa? Kila timu na zama zake, kwa sasa Argentina anatamba, unatamani kuwaangalia tu. So kwangu Wydad Casablanca na Raja Casablanca hawana mpinzani, na takribani miaka yote waarabu wanafanya vizuri, huyo mamelodi wako mnaemsifia kila siku anaishia njiani, hakuna timu hapo.
 
Vipi waarabu Koko wako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwisha habari yako, hapo una maumivu makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…