Nisome Course gani Masters ili niwe History Professor

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Katika ndoto za maisha yangu ni kua na elimu kama ya aliyekua profesa wa history wa Ivory Coast-Laurent.

Naombeni ushauri wenu kua masters nisome Course gani ili niwe Professor wa History.
 
Katika ndoto za maisha yangu ni kua na elimu kama ya aliyekua profesa wa history wa Ivory Coast-Laurent.Naombeni ushauri wenu kua masters nisome Course gani ili niwe Professor wa History

njia nzuri ya kutimiza ndoto yako somea masters ya phizikia
 
We kweli hamnazo
 
We kweli hamnazo,ndio ukawa a.k.a
 
Katika ndoto za maisha yangu ni kua na elimu kama ya aliyekua profesa wa history wa Ivory Coast-Laurent.Naombeni ushauri wenu kua masters nisome Course gani ili niwe Professor wa History

mkuu unafundisha Mzumbe Secondary eh!?
 
Kwa nini usimuulize huyo prof wa Ivory Coast alisoma nini Masters?
 
Inabidi usome masters ya history mkuu mbona ipo hata Udsm
 
Kuuliza sio Ujinga wewe,nimepata jibu moja kua nisome masters of history
 
Yaani we fara kweli. Nahisi we muhaya au mjaluo. Ndio wenye akili kama zako. Prestige ndio unakusumbua
 
kwanza degree ya kwanza ulisoma nini? kama hukusoma BA History hutaruhusiwa kufanya Masters ya History. Kwa Tz inatolewa UDOM na UDSM tu, na unaspecialize eg POLITICAL HIST, ENVIROMENT HIST, ECONOMIC HIST, HISTORY OF TZ au HISTORY OF DISEASE.
 
Nadhani uyo Laurent wa Ivory coast unaemzungumzia ni Laurent Gbagbo aliyewahi kuwa rais wa Ivory coast kabla ya kupinduliwa na Alssane Quattara, uyu jamaa alikuwa mwanahistoria mzuri aliyeitumia History vibaya, ata mkewake Simone Gbagbo alikuwa historian.
 
Bachellor nimesoma History na Geography.
 
We unaetukana ni wivu unakusumbua
 
Ndugu inaoneka degree ya kwanza umesoma BAED somo la kufundishia ukachukua Hist na Geog, wewe ni mwalimu wa history sio mwanahistoria, kuna tofauti kati ya mwanahistora na mwalimu wa historia, kufanya MA ya history ni lazima uwe na BA ya history na sio ap
 
Ndugu hata hujapotea bdo upo kweny position nzur tu ya kusomea ma ya hstor km vp SAUT kuna ma ya hstory nenda kasome, lengo lako ltatmia. kila lakher.
 
Kozi za kike kama hizo za kazi gani sasa?
 
Kozi za kike kama hizo za kazi gani sasa?

zunguka vyuo vyote Tz kama utaona kuna chuo kina prof zaidi ya wawili wa history kama sio UDSM peke yake sio sociology ile, ata UDOM department ya History hawana prof hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…