Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

nashy pascal

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
111
Reaction score
2
nina 1 ya 10, PCM NA PCB ZOTE ZINA POINT-3,BT MA DREAMS NIWE ENGINEER BT NAONA KAMA ENGNEERNG NOW CO DIL,DIL UDOCTOR HV NI KWEL?
 
Ndugu Nashy kila sehemu watu wanatoka. Je wewe unapenda kuwa nani? Hili ndio swali ambalo inabidi ujiulize na kujichunguza. Ukishajua unataka kuwa nani, basi utajua ukifika chuo ukasomee nini na automatically utajua a-level ukasome combination ipi?

Ukweli unao wewe kwani wewe ndio unajua nini hasa unapenda. Sema tatizo watu hawapendi kujichunguza. Hawapendi kuchunguza mioyo yao kujua nini hasa wanapenda.
 

tangu utotn wangu ma dreamz ilikuwa kuwa engr. bt maengr. wao wenyewe wananpa ushaur npge pcb niwe doctor wamenconvs mpka nmeona kama vle kuna ukwl kdgo,dat bora udoctor and mpka ikatokea nmeupnda na kuacha ma dreamz cjui nfanyeje
 
Halafu ndugu Nashy mimi mwenyewe nilipokuwa O-level nilipata alama kama zako. Nakumbuka baba yangu alinishauri nije kuwa daktari au mwanasheria. Na watu wengine kila mtu alikuwa anakuja na ushauri wake. Huyu nenda huku, huyu nenda kule. Huyu atakwambia kule kuna dili, mwingine atakwambia huko hakuna maslahi nenda kawe fulani.
Bahati nzuri mimi nilikuwa tayari kuna fani ambayo nilikuwa naipenda. Hivyo licha ya ushawishi mzito na kweli mzito, nili stick kwenye ninachokipenda.
Mungu akusaidie kujua nini hasa unapenda. Angalizo kupenda kuwa engineer haitoshi. Inabidi uwe specific. Unataka kuwa nani: electrical engineer, mechanical engineer, civil engineer, mining engineer, or electronics engineer, e.t.c
 
tangu utotn wangu ma dreamz ilikuwa kuwa engr. bt maengr. wao wenyewe wananpa ushaur npge pcb niwe doctor wamenconvs mpka nmeona kama vle kuna ukwl kdgo,dat bora udoctor and mpka ikatokea nmeupnda na kuacha ma dreamz cjui nfanyeje
Waliokushauri uwe doctor, najua kwa nini walisema hivyo. Si kwa sababu walichunguza uwezo na haiba yako wakaona unafaa kuwa doctor. Si kwa sababu ukiwa doctor utakuwa na maisha safi sana. Ni kwa sababu ya tatizo la ajira. Kwamba ukiwa doctor una uhakika wa kupata ajira. Tofautisha uhakika wa kupata ajira na kuwa na maisha mazuri. Tofautisha uhakika wa kupata ajira na kufanya unachokipenda.

Hebu niambie ulikuwa unapenda kuwa engineer wa nini hasa?
 
tangu utotn wangu ma dreamz ilikuwa kuwa engr. bt maengr. wao wenyewe wananpa ushaur npge pcb niwe doctor wamenconvs mpka nmeona kama vle kuna ukwl kdgo,dat bora udoctor and mpka ikatokea nmeupnda na kuacha ma dreamz cjui nfanyeje

PCB kama unaipenda ajira zake ni fasta...coz kuna uhaba wa doctors n pharmacists...bear in mind kupata kaz cku iz ni kitendawil
 
PCB kama unaipenda ajira zake ni fasta...coz kuna uhaba wa doctors n pharmacists...bear in mind kupata kaz cku iz ni kitendawil

Mimi nimemwabia hicho unachomwambia wewe. Kuwa wanaokushauri uende u doctor ni uhakika wa kupata ajira nchini. Nasisitiza nchini. Lakini nimemshauri atofautishe uhakika wa kupata ajira na kuwa na maisha safi. Atofautishe uhakika wa kupata ajira na kufanya unachokipenda.
 

napenda sana civil engineering
 
so tc true dat nowdyz even maengr. ni kaz kupata kaz? aslmia 90,weng wanshaur nkapge PCB
 

kwa dunia na tz ya leo nadhan kikubwa ni maslah hwez kstrgle miaka ming zen nxt ukaja kkosa au kupta ajira kwa mbinde, kiukwel kabsa kikbwa ni maslah SASA BDO NAJIULZA ZAT NI KWEL MAENGINEER WANAHASO?
 
My self i had never regret my option of being transportation eng.
 
Nani kakudanganya kuwa u Engineer haulipi?
 
Nakushauri dogo soma PCB maana still na PCB yako kuna baadhi ya course za Engineering utakuwa unauwezo wa kuzisoma kama Environmental Engineering,Bio-chemical Engineering,Food Processing Engineering etc ingawa hiyo Civil unayoipenda hautaweza kuisoma kwa level ya shahada ya kwanza lakini nafikiri utaweza kuisoma endapo utataka kuifanyia masters kama utakuwa na bachelor ya env engineering.
 
samah,but unaweza ukachaguliwa kusoma CBM,while uko na D Kwa chemistry,biology and math ni C
 
samah,je unaweza ukachaguliwa kusoma CBM,while uko na D Kwa chemistry,biology and math ni C?
 

si ntachukuwa mda mwingi mpka kuifikia hyo cvl engrng?
 
and mwingine kanshaur zat bora kama kwel napenda civl engrng bora nkapge college npate dploma,zen degree kuliko A LEVEL,et alevel n kusomea ctfcte 2 bora ukapge upate dploma uanze kuvta mshara wakat unachkua dgree JAMAN IPI BORA UJUE NPO NJIA PANDA VIBAYA MNO
 
si ntachukuwa mda mwingi mpka kuifikia hyo cvl engrng?

Umenifurahisha!!swal la kwanza nini ulopenda toka ukiwa young! Je ni udaktar...sheria...uhandisi!? Na kama jib ni uhandisi mi nakushaur uende!! Na hata kama mambo yakiwa magum baadae(hasa kwenye kusoma) ni rahisi kuexcel kuliko huo udokta ambao unaupenda sasa...sina imani kama kitu unapenda utajuta kusoma..engineering ni nzuri na ina faida popote( si kwamba udokta si mzuri!!!)...ushaur wang ni..timiza ndoto zako na fwata moyo wako....na miluz mingi hupoteza mbwa!!! All the best na karibu uhandisini...
 

NILIKUWA NAMJIBU ALIYE NSHAUR UDOCTOR HAPO,MA DREAMS SNce nko young ni ku ENGREENER, -CIVIL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…