Nisome ipi kati ya Bachelor of Accounting with IT na Bachelor in IT?

Nisome ipi kati ya Bachelor of Accounting with IT na Bachelor in IT?

Coz nataka kujua ipi nzuri kati ya hizo
Zote ni hot cake utofauti huku ni uhasibu plus IT na huku ni IT tu bila uhasibu kwa hio chagua wewe unataka kipi hapo unataka kua mwasibu au unataka kua afisa tehama
Nataka kujua ipi kati ya hizo ni nzuri na vipi kwenye soko lake la ajira
Zote ni nzuri wewe Fisi unataka kula karamu 2 kwa wakati mmoja jikague wewe unapenda kufanya kazi ipi passion yako ni ipi kisha fuata moyo wako, tumeshakupa muongozo
 
Hatari sana! Ila inashangaza sana jamani!
Hapo ni suala la kuamua yeye hizo zote zipo sokoni ingawa hio ya uhasibu ndio soko lipo moto sana kwa hio ni kuchangua abige account akimaliza asubirie dirisha la ajira au aunge achukue CPA asubirie kula mema ya nchi au la apige tehama akimaliza aongezee mambo mambo mengine huko anayoyapenda yeye masters Phd au certification zingine km CCNA nk
 
Back
Top Bottom