Nisome ipi kati ya Diploma ya Famasia na Bsc ICT

zink

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2021
Posts
1,208
Reaction score
2,352
Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa
UDOM - Diploma in pharmacy
OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology
ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri
 
Kasome diploma ya pharmacy
 
Kasome diploma ya pharmacy
Nashukuru kwa mchango wako mkuu na pia diploma ya hapo udom nasikia hakuna mitihan ya nacte kwahiyo nikimaliza nafanya mtihan wa leseni kama kawaida au?
 
Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa
UDOM - Diploma in pharmacy
OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology
ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri
Aisee pagumu apo angalia lengo lako zaid ulitak kuw nani then uamue,kwa ushaur nend pharmacy au OUT ict
 
Ki
Kasome diploma ya pharmacy
Kila chuo siku hizi kimehamia kutoa farmacy kama ilivokuwa kwa ualimu miaka ya nyuma.
Soma kitu ambacho unaweza kujiajili bila tabu.
Maduka ya madawa siku hizi yameenea kila kona sidhani kama yanalipa labda yale makubwa.
Soma IT jikite kwenye kutatua matatizo halisi.
 
Vyovyote itakavyokuwa, Tanzania ni vyeti oriented, unahitaji digrii kula mema ya nchi.

Sio taasisi za kusajili na kutambua biashara au taasisi za ajira, au hata watanzania waliopo humu, hakuna anayeweza kukuamini kwenye nafasi ya maamuzi au ya kiuongozi kama una-certificate au Diploma, watakuhukumu kwa elimu yako.

Na ukifanikiwa bila digrii pia ni hao hao watakaokusifia. Kaa salama, chukua digrii kama nafasi ipo, ila fuata unachopenda na kuweza, usifuate soko.
 
Tatizo me mambo ya ict niliapply basi tu lakin ntaangalia pharmacy kidg hata badae niunge bachelor yake
 
Vyovyote vile, hata ukianzia cert, unga moja kwa zote mpaka bachelor
 
Yaah mkuu nasikia amna ushindani sana wa kusoma bachelor ya pharmacy kweli au?
 
Back
Top Bottom