Nisome kozi gani ambayo itanipa ajira kwa urahisi

HeBi_BoY

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Hadi sasa nishafikiria vingi lakini naona bado sina jibu juu ya cha kusomea maana kila nnachotaka kusomea napata wasiwasi wa kazi Jamani mliotangulia makazini,vyuoni Naombeni msaada
 
Kila course ina ajira but kuna nyengine zina unafuu,weka ufaulu wako hapo ndio wadau watajua wakusaidie vp
 
yan mpaka leo deadline hujajua cha kusoma? ulikua wap? hya kasome education mkuu kazi zipo.
 
Somea masuala ya uganga wa kienyeji yanalipa sana.
 
Somea ualimu ngazi yoyote, au uuguzi., kazi Zipo nuingi sana
 
Wakati nipo form four mwaka 2002 electronic ilikuwa ipo juu sana nilipofika form six. 2005 information technology ikawa juu.
Mwaka 2006 naabza chuo accoutancy ikaja juu. Sijui umetokea kozi zipi vitu hubadilika kutokana na demand ya ajira.kwa Sasa Watanzania kwenye madini na gesi Sisi ni vibarua tu kasomee uwe mwajiriwa,

Kwenye ndege, urubani ni waarabu na wazungu Sisi ni wanausalama na watoa huduma viwanjani kwetu.

Somea ualimu never die,doctor au procurement ni nzuri lakini sijui baada ya miaka mitatu ya chuo patakuwaje,
Somea mipango miji. Hata sijui nikushaurije maana kuna kozi. Nyingi.
 
Hadi sasa nishafikiria vingi lakini naona bado sina jibu juu ya cha kusomea maana kila nnachotaka kusomea napata wasiwasi wa kazi Jamani mliotangulia makazini,vyuoni Naombeni msaada

kwa sasa kama unapenda upolisi jaza law enforcement udsm mara nyingi police huwachukua mapema kuliko vyombo vingine vya ulinzi na usalama au kasome ualimu
 
Soma hotel management,socialogy na Relationship,Tourism na food beverage inalipa sana achana na hizo za ualimu kila mwaka mgomo
 
leta kwanza combination uliyosoma na ufaulu tusije kukushauri medicine au engineering kumbe ngwine wa HKL au KLF
 
Bado napokea maoni nayasoma kwa bidii nashukuru ndug zang 2p pamoja mi n HGL nilisoma Artist
 
sasa ww leo si ndo deadline? au una pima wtu tu?
 
Nadhan ckuamua bado na ckumaliza mwaka jana np hm maisha y watanzania mnayajua ndugu zang ushaur haufi najua nimechelewa sawa ntajiunga next year nw ntaendelea na viji fan
 
Bado napokea maoni nayasoma kwa bidii nashukuru ndug zang 2p pamoja mi n HGL nilisoma Artist

Land management and valuation ya ARDHI UNIVERSITY

Urban planning (japo sijui kama HGL wanapokea)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…