Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
anapata 1 imesimama na hajui asome coz gani shule Bado haijamsaidia huyoHabari za mchana
Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au nane serikalini niweze kujenga hata nyumba mbili na kagari hata kamoja then niachane na iyo kazi ya serikali nikafanye mishe nyengine nje ya serikali. Nimesomea PCB nmepata 1.5 matokeo ya mwaka huu. Naomba ushauri kwenye hili suala ili nifanikishe ndoto zangu.
N.B nimeikuta sehem anaomba ushauri
Tumshauri yy mm ntafikisha tu mkuu mm sijasoma kabisa nimeishia form four tu siwez fika chuo kikuuTumeshauri nani? Yeye au wewe?
msichana mlembo(mrembo) hahahaha 😂siku hizi sijui nina allegi gan badala ya kusoma habari ya mchana nimeona kama 𝕞𝕤𝕚𝕔𝕙𝕒𝕟𝕒
Aisee iyo n good idea mwenyew nilisema kozi nzuri n kilimo mifugo na uvuvi yaan hata usipoajiriwa unaweza jiajiri mwenyewAcha na shule za kurarishwa hivi huoni PhD holders wanakunywa juice ya kutoka Madagascar na kuamini inatibu corona badala ya kutengeneza dawa wao kwenye maabara zetu?
Huoni elimu zetu ni kukariri tu?
Nenda VETA kasomee hata ufundi wa ujenzi au chochote utakachoweza kuamka asubuhi ukijua umeitwa hata bricklayers au wiring
Bora uwe hata bwana mifugo maana ni vitendo zaidi na unaweza ukawa mfugaji kitaaluma zaidi na inalipa haswa
Ndo kozi gani iyo?Asome course ya money laundering.....
wakola wote wenye mikwanja wanaijua hiyo kozi....Ndo kozi gani iyo?
Soma TU Ili uelimike !Habari za mchana