Charles Phaustine
Member
- Mar 19, 2018
- 5
- 2
Hata hiyo haitoshi labda urembo kama kukata kucha na kuzisafishaPhone and computer maintainance
Hata hiyo haitoshi labda urembo kama kukata kucha na kuzisafisha
Duu Laki tatu,nenda kaulizie veta mzee see jui gharama zao shingapiMimi ni kijana wa miaka 25 nimehitimu form six mwaka 2017 nikapata Division 3 ya point 14, yaani PCB=DEE ambayo sikustahili kupata mkopo wa serikali, na kutokana na uchumi pia nilishindwa hata kuendelea na college yoyote lakini sasa hivi nina laki 3 nahitaji kusoma.
Nahitaji mawazo yenu wadau.