Nisomee programme gan?

Kijoli

Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Nisaidieni kwa ushauri,me nimesoma bachelor of arts with education,nina mpango wa mwaka huu kusoma masters hitji langu hapo mbeleni niwe lecturer je nisomee master gan kati ya master of education in admistration,planning and policy studies (MED.APPS) au nisome masters of education (M.ED) kwa maana ya ipi yenye uwanja wa ajira? na vp kuhusu ubora wa open university kwa utoaji wa programme hizo maana natarajia kusomea open university
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…