Samahani mkuu.bei 20m maelewano yapo.gari haijaguswa mashine bado mpya kama inavyo onekana.Mkuu,
Katika bandiko lako umepatia kila kitu kwa asilimia 90... Ila umeacha kitu cha msingi sana ambacho ni Bei ya hiyo gari. Ungeweka tu hapo ili kila mtu ajipime kwa ubavu. Mimi gari imenivutia.
Bila samahani mkuu..usijali. Shukrani kwa kuweka hiyo bei...nazifahamu hizo gari ni nzuri na ngumu.Samahani mkuu.bei 20m maelewano yapo.gari haijaguswa mashine bado mpya kama inavyo onekana.