Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
Wakuu, nauza nisan civilian bus kali m. 14.Gari iko mzigoni kko-goms, kuiona gari njoo na fundi wako. Sababu za kuiuza mwenye gari anahamia dodoma.
Mawasiliano 0685247148
Namba gani mkuu?
Namba b, well maintainedNamba gani mkuu?
Ten vipi mkuu?Namba b, well maintained
Na haidaiwi?Namba b, well maintained
Fanya appointment ya kuona na kuijaribu gari kwanzaTen vipi mkuu?
Haidaiwi, labda kama imepigwa bao na trafiki jioni hiiNa haidaiwi?
Ntakupigia keshoFanya appointment ya kuona na kuijaribu gari kwanza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]basi sawa tutaipa route mpya yespa via kihonda veta mjini
Ina tatizo gani?Vibali vyote vimekuwa renewed hadi mwakani ila bado inauzwa, kko goms
Haina tatizo lolote ila nimehamishwa kikazi sasa usimamizi unakuwa mgumu sana na gari inahitaji isimamizi. Bei bia inajadilika. KaribuIna tatizo gani?
Haina tatizo lolote ila nimehamishwa kikazi sasa usimamizi unakuwa mgumu sana na gari inahitaji isimamizi. Bei bia inajadilika. Karibu