Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Falcon bus anazo Nissan Diesel na Scania pia zinaenda Dar mpaka Harare..Nissan kwa root ndefu ipo vizuri kozi ina mfumo mzuri wa upozaji mashine pia nissan vifaa vyake ni durable,nakumbuka nikiwa advance nimesafiri na TAQWA nissan 2001 na mpaka leo hakuna scania yeyote ambayo inaweza rut ya dar congo! Scania ya mwisho mm kuiona ilikuwa ADIDAS
Bavaria hizo engine bora kwa safari ndefu ni kwa abiria tuu na kwenye ubebaji mizigo upoje maana kukuta Nissan diesel truck zilizobeba mizigo kwa safari ndefu ni chache na pia Engine za Scania mnazozungumzia ni zipi zile 113 za kizamani au hizi R series na P series..Engine za Nissan Diesel ni habari nyingine kwa safari ndefu.
Nimejibu kwa kutumia reference ya mabus.Bavaria hizo engine bora kwa safari ndefu ni kwa abiria tuu na kwenye ubebaji mizigo upoje maana kukuta Nissan diesel truck zilizobeba mizigo kwa safari ndefu ni chache na pia Engine za Scania mnazozungumzia ni zipi zile 113 za kizamani au hizi R series na P series..
Mkuu yapo P,R,K,F ila HP ni ndogo tofauti na zile za Truck kuna Scania bus linatoka Living stone mpaka Cape Town via Harare na Madhandoo bus ana Scania zake zinatoka Kitwe mpaka Johannesburg..2000km na kila siku zipo Road na Jos to Lusaka makampuni yote yanatumia Scania 1500km..Nimejibu kwa kutumia reference ya mabus.
Hivi hizo P na R series ni malori pekee au hadi mabus?
Mkuu yapo P,R,K,F ila HP ni ndogo tofauti na zile za Truck kuna Scania bus linatoka Living stone mpaka Cape Town via Harare na Madhandoo bus ana Scania zake zinatoka Kitwe mpaka Johannesburg..2000km na kila siku zipo Road na Jos to Lusaka makampuni yote yanatumia Scania 1500km..
chirundu ni mlima mkubwa tuu, zimbabwe kuna milima mikubwa tuu kariba ukipita au Siavonga huku yanakopita yale mabasi kuna milima mikubwa tuu..Usifananishe barabara za Tanzania na zambia, mlima mkali zambia ni danger hill pekee
Kirefu cha UD ni Ultimate Dipendabilitynissan diesel a.k.a united diesel(sina uwakika kama ndokirefu chake)
Kwenye milima sasa SCANIA ndo utaijua jeuri ya msweden turbo diesel.Usifananishe barabara za Tanzania na zambia, mlima mkali zambia ni danger hill pekee