Collin Butondo
Senior Member
- May 4, 2016
- 136
- 102
Maker: Nissan
Model: Dualis
Body Type: Station Wagon
Color: Black
Year of manufacture: 2007
Engine Capacity: 1990
Fuel Used: Petrol
Imported from: Japan
Asking price: 16m
Previous Owners: 0
The price is Negotiable,
Karibu tufanye biashara.
Km ngaoi?
Hizi baadhi ya wabongi wanasema zinawakaga moto zenyewe!
Hapana, hiyo gari iliingia nchini mwaka 2019 na si 2021Wale wazee wa Toyota ni gari za kishamba....
Akigusa kwingine anatoka ndukiiii na bado mzigo hauuziki. Hii gari probably imeingia Bongo Arround Nov to Dec 2021 leo Dec 2023 miaka 2 baadae bei utakayopewa itakushangaza maaana itakua chini.
Mkuu weka bei ya crown
Suburia mpaka mwezi wa 3 angalau wanunuaji watakuwa na pesa!The car is still available for sale
Buggati nitapata? Isisziki 20k kilometersThe car is still available for sale
πππ nilikuwa nasuburia January ipite ningeichukuaDeal done [emoji736]
Kama iliingia 2019 basi hiyo auze 13million ..Hapana, hiyo gari iliingia nchini mwaka 2019 na si 2021
Juzi tu moja iliungua tunaiona hivi hivi Tu.Km ngaoi?
Hizi baadhi ya wabongo wanasema zinawakaga moto zenyewe!
Zinazoungua wanakuwa wamebadilisha miziki kwa mafundi MAIKO!Juzi tu moja iliungua tunaiona hivi hivi Tu.