Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kweliIst itakufa mkuu
Leta pichaNinayo, 8metembea km laki 276
Naja mkuuNjoo DM nikupe mchongo.....
Sawa dalaliKama iyo 8 million basi IST ni 4 million
Wewe dalali? Ya kwako unauzaje?Kuna raia huwa mnalazimishwa kuangushiwa majumba mabovu
huwezi kupata kwa hiyo bei mkuu,Still searching
Yangu nauza 18 milioni.Leta picha
Yako ngapi boss, usiwasemee wengine plshuwezi kupata kwa hiyo bei mkuu,
Thanks mkuu ila hiyo ipo juu sana kwa bajeti yanguYangu nauza 18 milioni.
Bila shaka hiyo ni used japan, mi nataka used hapa nchiniYangu nauza 18 milioni.