Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 234
- 633
Wakuu naomba kuuliza kuna mtu anatumia gari aina ya Nissan Qashqai au Dualis na kukutana na adha ya gari kushtuka baada ya kuwekewa oil feki kwenye gearbox. Kama yupo naomba kujua alitatuaje hilo tatizo