Mshasha wane JF-Expert Member Joined Oct 16, 2014 Posts 234 Reaction score 633 Jan 16, 2025 #1 Wakuu naomba kuuliza kuna mtu anatumia gari aina ya Nissan Qashqai au Dualis na kukutana na adha ya gari kushtuka baada ya kuwekewa oil feki kwenye gearbox. Kama yupo naomba kujua alitatuaje hilo tatizo
Wakuu naomba kuuliza kuna mtu anatumia gari aina ya Nissan Qashqai au Dualis na kukutana na adha ya gari kushtuka baada ya kuwekewa oil feki kwenye gearbox. Kama yupo naomba kujua alitatuaje hilo tatizo
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Jan 17, 2025 #2 Upo mkoa gani ndugu !! Tafuta mafundi wazuri wa nissan kama upo DAR nenda pale tabata dampo
mi_mdau JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,170 Reaction score 1,708 Jan 17, 2025 #3 Tafuta fundi mzuri mbadili hiyo Oil kabla hujaua kabisa hiyo gearbox