Nissan Fair Lady Z 2005

Nissan Fair Lady Z 2005

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Wakuu naomba kujua kiundani juu ya hii gari bei, upatikanaji wa vipuli pamoja na ulaji wa mafuta nimetokea kupenda bajeti yangu ni 20milioni je naweza pata?

BK337231_4b2d98.jpg
 
Ngoja Waje Wajuzi Wa Nissan
Ila Hili Neno Fairlady Z 2005
 
Back
Top Bottom