Nissan Fuga: Naomba kujua ubora wake

Nissan Fuga: Naomba kujua ubora wake

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
wadau nimependa hili gari la nissan fuga nataka kuagiza.
je kuna mtu ana experience nalo kuhusu ubora wake.
nataka lenye cc2500 hope mafta litakuwa linakula kama mark x au brevis ya cc2500.
Naomba mwenye experience ya ubora wake aniambie
 
Wheel bearinga ni usd 750 za upande wa mbele tu

Shockuup ya mguu moja ni 550,000 inamaana miguu 4 ni 2200000

Taa ikipasuka moja andaaa 700000

Mafuta inachagua ukiweka super andaa kuondoa miss

Kumbuka mafundi wanaogopa kufungua injini yake

Bush zinaanzia 240,000 kuendelea

Kumbuka uliweka spea feki au zilizochini ya kiwango kila mwezi utakua unabadili

Kama huna pesa za strec Fuga ni gari nzuri sana ni stable luxiurious comfotable na nzuri ya kuopolea watoto wazuri. Wenyewe wanasema its more comfotable to be heartbroken inside the might fuga than an altezza

Mafuta nisiongelee sana kama unatoka mwenge hadi tegeta anadaa 20000

Kama una strec na hela za kibubu tafuta starlet au premio hata allex sio mbaya ukishindwa sana basi IST ama Passo
 
Asante kwa uchambuzi wako basi kwa usawa huu heri hata ya mark x
 
Mkuu watoto wazuri wanasemajeeee???????
 
Huu uchambuzi nimeupenda sana!.. Hebu nichambulie hivi na Subaru Legacy (Fifth na Sixth Generation!).
 
Hahahahah nikukumbushe tu hio gari ni V6 ya 2.5L ambayo unatakiwa uwe na walau kipato cha 70,000 ya kuchezea kila siku ndio utaiinjoy maana nissan zinabubuja wese kuliko Toyota ma piston yake makubwa zaidi.

Kinyume na hapo hutachukua mwezi utarudi kuanzisha uzi wa kutaka ku swap engine uulize wadau kama engine ya IST au Passo ipi itafaa kufungwa kwenye Fuga.

Nissan ni gari imara sana ila ukiacha Bluebird sylphy na March hamna ambayo inaendesheka kirahisi. Hio Xtrail tu ingawa sio 6 ila walionazo wanakoma.
 
No research no right to speak....
Nina nissan note ya mwaka 2005 cc 1500..mwaka wa 4 huu....sijawahi kujuta kuhusu mafuta..

Kuna watu wenye hizo IST wala hatucheknibkwenye ulji wa mafuta tunatofautiana kidogo sana na bado hii nissan ina nguvu sana.

Hivyo tusipende ku.. generalised mambo kwama Nissan zinabugia mafuta.....hii nissan November 2017 nilisafiri nayo Dar to Arusha mafuta ya 100,000/- na nilipofika arusha mafuta hayo hayo nilienda nayo kazini siku tatu

Kuhusu spea hakuna spea iliyosumbia nikaikosa dukani na nipo Arusha, sembuse kwa Dar.

Nissan hazitak hela za mawazo na zinahitaji nidhamu ya utunzaji na service zenye ubora,,ukizingatia hayo Nissan utaipenda na hutojuta ..

More over ni gazi nzito na zina balance ya kutosha barabarani..
 
Bei yake ipoje Mkuu? Samahani kwa usumbufu.
 
Note inaingia kwenye class ya hizo nissan nilizozitaja hapo awali, hamna tofauti kubwa kwa engine.
 
Bei yake ipoje Mkuu? Samahani kwa usumbufu.
Unamaanisha Nissan note? me niliigaza Japani na kuitoa bandarini July 2014..kwa wakati huo ilinikamua 7.5 milioni kila kitu bima excluded....kwa sasa sijui inafika ngapi na ukizingatia dola inavyopiga push up[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom