Nissan JUKE 2011

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,254
Reaction score
2,519
Wakuu, wataalamu wa magari naomba kufahamu kiundani kuhusu hii gari Nissan Juke ya 2011 ina 1490cc, kwanini Bei yake iko juu sana (23 Million) na wakati ina muonekano mdogo kama wa IST?
 
kwakweli imma (mmiliki wa mwacar intertrade ) mchizi yuko poa sana, nimefanya nae bizness asijelewa mafanikio akaanza kuharibu kazi
 
kwakweli imma (mmiliki wa mwacar intertrade ) mchizi yuko poa sana, nimefanya nae bizness asijelewa mafanikio akaanza kuharibu kazi
Jamaa mwaminifu sana eeh?
 
Nissan huwezi juta atleast for the first 3 years
 
Sisi tusioelewa mambo ya magari tunacomment wapi [emoji32][emoji41][emoji360]
 
Nissan huwezi juta atleast for the first 3 years
Mkuu unanishaurije kuhusu Nissan X trail? Natamani sana kumiliki Nisaan x trail hasa hizi Axis Model
 
Mkuu unanishaurije kuhusu Nissan X trail? Natamani sana kumiliki Nisaan x trail hasa hizi Axis Model
X trail zimeshaanza kuwa common...spea zinapatikana kirahisi haswa kama upo miji ile mikubwa ila bei ya spea zake ni ghali...

Japo watu wengi wanaziponda hizi gari kuwa ni kimeo....Im not sure about that...ila nichofahamu gari lolote ni matunzo...

Kuna mtu ana x trail namba B imesimama vizuri na kuna mwenye Noah namba D, ukiitazama utasikia kichefuchefu...

Hii ina maana ukiwa mtunzaji na kuzingatia huduma stahiki, hakuna gari baya.
 
Nashukuru sana Boss kwa ushauri mzuri[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…