Nissan JUKE 2011

Kuna moja nilmesahau.. Inaitwa Toyota Porte....
Mmh. hii gari sijui wajapani waliwaza nini...[emoji23][emoji23]
Japo kuna mtu anaipenda kupindukia

Ungeiona Nissan Cube ndio ungeshangaa zaidi maana muonekano wake tu unatisha
 
Qhashqai ni nzuri zaidi naona
Ila kwa bei kwa Tz ni rip-off
 
Si ni bora ukanunue Harrier
wanavipenda kisa cc ndogo then ni gari ya juu kwa wale wanaokaa mabondeni huko nje ya mji kusiko na lami tumbo halibuluzi tofauti na crown ukiingia nayo kimara hapo cha moto utakiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…