Car4Sale Nissan Jukes for sale

Bonge la gari na bei ipo poa hakika huuzi kwa faida itakuwa umetingwa,ukiagiza hii gari mpaka na ushuru wa bongo sio Zanziber ni zaidi ya 20m.zipo poa sana. Sio kama Toyota kila mtu anayo.
Asante mkuu kwa support,dukani hiyo ni 27m
 
Sijawahi kuona Hilo gari limepaki mahali, pa stare au hata barabarani. Wamiliki hivi huwa mnapaki wapi hizi gari.
 
Nyingine hiyo hapo wakuu
Vvti 2005
Engine capacity1790
Full AC
Bei,13.5m
Ipo Dar NIT
Piga 0698235368
 
Nissan Juke 2012
Cc1500
Millage, 74000 km
Haina kipengele chochote ni kuchukua na kuanza kuendesha
Bei ni 19m tu
Ipo Dar es Salaam
Piga 0698235368
Karibuni sana wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…