Nauza Nissan march yangu kwa 3.5 million, pungufu unaongea. Ni ya mwaka 2005, km 72,368, full ac. Vibali Insurance ipo hai hadi 23/12/2015, motor vehicle inadaiwa 382,500 na inahitaji marekebisho kidogo ya clutch plates ila n gar ambayo naitumia kila siku kwenye shughuli zangu. Kwa atakayeipenda anitafute kupitia 0716 002323, asante.