Najaribu kuziupload picha zinagoma, ntajitahid niziweke hapa muda c mrefuweka picha.
Nauza Nissan march yangu kwa 3.5 million, pungufu unaongea. Ni ya mwaka 2005, km 72,368, full ac. Vibali Insurance ipo hai hadi 23/12/2015, motor vehicle inadaiwa 382,500 na inahitaji marekebisho kidogo ya clutch plates ila n gar ambayo naitumia kila siku kwenye shughuli zangu. Kwa atakayeipenda anitafute kupitia 0716 002323, asante.
Weka namba yako nikutumie kwa whatsappPicha muhimu boss. Hizi ni storry tu... Tafadhali tuma picha haraka sana
Weka namba yako nikutumie picha kwa whatsappWeka picha