Car4Sale Nissan march for sale 3.5 million

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
120
Nauza nissan march yangu kwa 3.5m, tuwasiliane 0716 002323
 
Attachments

  • SAM_0885.JPG
    1.1 MB · Views: 1,033
  • SAM_0892.JPG
    1.2 MB · Views: 878
Haina tatizo lolote mkuu? Haijawahi pata ajali? haishndi gereji?
 
Hahahha,leo Frank kaamu kusukua mshipa na yeye.
Gari nzuri ila sijui kama haina tatizo,maana kuna jamaa yangu alikuwa nayo hiyo iliharibika kifaa kidogo tu kazi aliiona ilikaa mpaka basi.
Hembu endesha hapo tuone kama nzima
 
2.5 sema utachukua lakini lazima fundi wangu alifanyie majaribio.
 
Hahahha,leo Frank kaamu kusukua mshipa na yeye.
Gari nzuri ila sijui kama haina tatizo,maana kuna jamaa yangu alikuwa nayo hiyo iliharibika kifaa kidogo tu kazi aliiona ilikaa mpaka basi.
Hembu endesha hapo tuone kama nzima
Zanz umeanza uchokozi. Hii gar naitumia kwenye shughuli zangu kila siku kwahivyo inatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…