Nissan March inauzwa

Nissan March inauzwa

Mr T

Member
Joined
May 8, 2009
Posts
15
Reaction score
0
nissan march ya mwaka 1993 manual ya milango mitano inakaribia 70000 km inauzwa bei 6m na maelewano yapo anaeihitaji aweasiliane na mimi kwa email yangu jkishoka@yahoo.com kwa maelewano na detail
 
nissan march ya mwaka 1993 manual ya milango mitano inakaribia 70000 km inauzwa bei 6m na maelewano yapo anaeihitaji aweasiliane na mimi kwa email yangu jkishoka@yahoo.com kwa maelewano na detail
Mr T,

Itapendeza ukiambatanisha na picha. Kama huwezi kuziweka, basi nitumie via invisible @jamiiforums.com nitakuwekea hapa.

Ahsante
 
Mkuu tatizo hiyo bei uliyo anzia naogopa hata kubagain kabisa.
 
Mi naona hawa ambao hawako siriazi na biziness wanakuwa kana kwamba wanatafuta kutu-unmask kwa faida zao. maana hawaweki details maridhawa ingawa wanajua how it works kupost matangazo aina hii hapa.

Alete picha na more other details kusaidia manunuzi au la adeclare kuwa anauza gari ambalo halipo
 
Labda ni la urithi, kwahiyo doc`s zote ni lazima zitoke kwa

vikao vya majadiliano na muafaka!

Biashara matongozo! - weka picha za hilo gari mtani...!!!
 
Ina bore kila siku tunazungumza same thing, MORE DETAILS PLEAAAAASE!!!!!!
 
mzee invisible picha nimezituma kwako uzirushe hapa, Mzee fidel80 bei usiiogope biashara ni makubaliano kaka
 
mzee invisible picha nimezituma kwako uzirushe hapa, Mzee fidel80 bei usiiogope biashara ni makubaliano kaka
Naam,

Naziambatanisha kwaniaba yako.

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • Image103.jpg
    Image103.jpg
    42.8 KB · Views: 188
  • Image111.jpg
    Image111.jpg
    50.5 KB · Views: 183
  • Image112.jpg
    Image112.jpg
    18.2 KB · Views: 178
  • Image147.jpg
    Image147.jpg
    47.9 KB · Views: 179
wow gari nzuri ila bei uliyoanzia umepiga ribit
naogopa kuanza kubageni maana aibu haka ka hela nilikonako
 
wow gari nzuri ila bei uliyoanzia umepiga ribit
naogopa kuanza kubageni maana aibu haka ka hela nilikonako

mzee tuwasiliane tu huwezi jua tunawezakufikia muafaka. hivi vitu vya moto hatufungi navyo ndoa mkuu
 
Back
Top Bottom