Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
Members naomba kuuliza hiyo gari hapo Nissan March sura kama kobe, Je inaweza kufaa kwa biashara ya taxi ? au hata uber ? hasa kwa Dar
Nimeamua kuuliza kwa sababu sijawahi kuiona ikiwa taxi
Nimeamua kuuliza kwa sababu sijawahi kuiona ikiwa taxi