Car4Sale Nissan March (Old) for sale 2.8M

Car4Sale Nissan March (Old) for sale 2.8M

Atom

Member
Joined
Oct 11, 2021
Posts
20
Reaction score
46
•Engine mpya (990cc)
•Gear box mpya.
•full serviced.
•Sport Rims.
•No a/c
•Location ni Dar es salaam.

Gari ni yangu, haina dalali, piga 0714064637.
IMG_20220312_122725_081.jpg
IMG_20220312_122801_487.jpg
IMG_20220312_123109_085.jpg
IMG_20220312_122835_465.jpg
IMG_20220312_123209_251.jpg
IMG_20220120_183512_401.jpg
 
Duh,kumbe kuna gari hadi za hyo bei,mkuu nambie tu ukwel hyo gar ni nzima kwel maana mm sio mtaalam sana wa magar
Ni nzima kabisa, na kila siku ipo barabarani. Karibu kama upo serious.
 
Wadau Chuma bado ipo kwa ambaye hawezi fikia bei za IST, bora kuanzia hapo ukijipanga..
 
Wabongo bwana Wana mentaliti sana ukiwa unauza Gari ukiuza bei kubwa mpigaji ukiuza bei ya kawaida kulingana na Hali ya Gari Wanasema bovu

sent from HUAWEI
Wengi wenye mtazamo huo, ni wale team boxer. Mwenye hela, au aliyewahi kumiliki gari, atajiongeza kuja na fundi wake kukagua gari. Na baada ya hapo, atafanya maamuzi.
 
==>Bado ipo, mazungumzo kidogo sana.
 
Kwa hii kadhia ya mafuta, hiki chuma cha pua kitaswihi hadi mambo yarudi kwenye bei elekezi ya buku jero kama enzi za Jiwe....😌😌.

Sijui nije kulikagua...🧐🧐🤨🤨🤨🤔🤔🤔🤔
 
Kwa hii kadhia ya mafuta, hiki chuma cha pua kitaswihi hadi mambo yarudi kwenye bei elekezi ya buku jero kama enzi za Jiwe....[emoji18][emoji18].

Sijui nije kulikagua...[emoji3166][emoji3166][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hakili mafuta hiko, kina nusa tu🙂
 
Back
Top Bottom