Car4Sale Nissan March (Old) for sale 2.8M

Duh,kumbe kuna gari hadi za hyo bei,mkuu nambie tu ukwel hyo gar ni nzima kwel maana mm sio mtaalam sana wa magar
Ni nzima kabisa, na kila siku ipo barabarani. Karibu kama upo serious.
 
Wadau Chuma bado ipo kwa ambaye hawezi fikia bei za IST, bora kuanzia hapo ukijipanga..
 
Wabongo bwana Wana mentaliti sana ukiwa unauza Gari ukiuza bei kubwa mpigaji ukiuza bei ya kawaida kulingana na Hali ya Gari Wanasema bovu

sent from HUAWEI
Wengi wenye mtazamo huo, ni wale team boxer. Mwenye hela, au aliyewahi kumiliki gari, atajiongeza kuja na fundi wake kukagua gari. Na baada ya hapo, atafanya maamuzi.
 
==>Bado ipo, mazungumzo kidogo sana.
 
Kwa hii kadhia ya mafuta, hiki chuma cha pua kitaswihi hadi mambo yarudi kwenye bei elekezi ya buku jero kama enzi za Jiwe....😌😌.

Sijui nije kulikagua...🧐🧐🤨🤨🤨🤔🤔🤔🤔
 
Hakili mafuta hiko, kina nusa tu🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…