🤣 🤣 🤣 🤣Kana
Ni heri ile IST yetu siyo?Abiria akitaka kupanda inabidi kiti kikunjwe. Akitaka kushuka hivo hivo.
Yap yap. Leo nimempa lifti mdada, nakaa nae mtaa mmoja. Nadhani ni mke wa mtu. Tulivokaribia maskani nikamshusha mita kadhaa akaja anatembea.Ni heri ile IST yetu siyo?
Sijakupata mkuu,yaani akaja akitembea kukufuata wewe?Yap yap. Leo nimempa lifti mdada, nakaa nae mtaa mmoja. Nadhani ni mke wa mtu. Tulivokaribia maskani nikamshusha mita kadhaa akaja anatembea.
Akaja anatembea kuingia kwake. Mume wake alishampiga marufuku kupewa lifti.Sijakupata mkuu,yaani akaja akitembea kukufuata wewe?
OkAkaja anatembea kuingia kwake. Mume wake alishampiga marufuku kupewa lifti.
Ni passo sio IstNi heri ile IST yetu siyo?
Hahahaha mkuu passo inatoa lift kww wake za watuAkaja anatembea kuingia kwake. Mume wake alishampiga marufuku kupewa lifti.
🤣 🤣 🤣 🤣Akaja anatembea kuingia kwake. Mume wake alishampiga marufuku kupewa lifti.