Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kuna watu wakisikia neno Murano, ata hamu ya kula inaisha.
Sasa, Nissan wamezindua new generation (4th Generation) ya hii SUV ambayo itaingia sokoni mwaka 2025.
Muonekano wa Nje & Ndani
Murano 4th generation haijatofautiana sana na generation iliotangulia kimuonekano, zaidi ya kuongezeka size na kuboreshwa muonekano.
Kwa ndani, utakutana na screen mbili kubwa za inch 12, moja ikiwa instrument cluster na nyingine infotainment.
Physical buttons sahivi nyingi zimeondolewa, kama ilivyotrend ya magari mengi na wameweka capacitive touch buttons kuanzia kuwasha AC, kucontrol flow ya hewa na multimedia.
Pia, haina gear knob ila kuna buttons tu za P, R, N, D na e-brake button.
Pia kuna heated steering wheel na heated windshield, zero gravity seats, massaging seats, ambient lighting nk.
Engine na Transmission
Inakuja na engine ndogo ya 2.0L inline 4 Turbo, ikiwa na 9 Speed Automatic transmission na inatoa 240 horsepower.
Features & Technology
Murano itakuja na wireless Apple CarPlay na Android Auto, Nissan ProPilot Assist, color HUD, integration ya Google service.
Bei
Kwa Base Model itaanzia $35,000 ambayo ni karibia bei sawa na Nissan Ariya EV waliyoitoa karibuni.