Car4Sale Nissan Murano Inauzwa

Car4Sale Nissan Murano Inauzwa

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,152
Reaction score
343
Habari,

Gari Excellent Condition inauzwa

Nissan Murano - T879 DRW

In a good condition, Full Ac

Bei. - 10.5 M

Contact - 0685020831

Gari ipo Tegeta - Kibo Complex, unaeeza nipigia muda wowote kuiona gari. ( 0685020831)

Muranno 1.jpeg

Muranno 2.jpeg

Muranno 3.jpeg

Muranno 4.jpeg

Muranno 5.jpeg

Muranno 6.jpeg

Muranno 7.jpeg

Muranno 8.jpeg
 
Hapo aliyenunua piru utakuta alipigwa karibia million 35!
 
Wajameni kwA wanaozijua hizi gari naombeni mnidadavulie ubora wake na ubaya wake,kwa macho nazipenda ila sizijui kwa undani zaidi
Wataakamu kujenii
 
We nawe acha wivu wa kike. Gari ni yake hata buku akitaka anaweza uza.
Mkuu achana na huyu jamaa. 7M ipo pale pale incase umekosa mteja!
Adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa.
Ujana wetu wasanii walikuwa na busara sana.😀😀

Siku hizi ni leo nakutooooooooo totooooo.
 
Back
Top Bottom