Nissan na Mazda

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
414
Reaction score
395
Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa zake ni gari nzur au?
 
Mazda Verisa ni machine haswa... naipenda sana hii gari wakuu kama kuna mtu anayo naomba tufanye biashara
Niliiweka humu jf miezi kadhaa iliyopita wapo waliosema hiyo gari huuzi nikawa nawachora tu [emoji1787][emoji1787]
 
Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa zake ni gari nzur au?
Haina shida ukipata ya 2015 mambo safi ww na service tu

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa zake ni gari nzur au?
Nissan Tiida kuanzia 2004 mpaka 2009 na Nissan Note kuanzia 2005 mpaka 2009...ni gari moja tofauti muonekano wa body na dashboard..
Kwa sababu zote zinatumia wngine moja ya HR 15 cc 1500 na gearbox ni CVT..

Kuna tiida chache zenye engine ya cc 1800 ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…