Nissan Navara ipoje? Spea, Reliability, consumption?

Nissan Navara ipoje? Spea, Reliability, consumption?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mwenye kuijua Nissan Navara Double Cabin. Naona budget yangu unacheza hapo tu. Bei imenibana Siwez Kununua Hilux Double Cab, wala Amarok achilia mbali Mnyama Ford Ranger/RAPTOR. Wajuzi njooni Extrovert Isanga family raraa reree

images - 2023-07-24T043030.468.jpeg
images - 2023-07-24T043016.157.jpeg
 
Mwenye kuijua Nissan Navara Double Cabin. Naona budget yangu unacheza hapo tu. Bei imenibana Siwez Kununua Hilux Double Cab, wala Amarok achilia mbali Mnyama Ford Ranger/RAPTOR. Wajuzi njooni Extrovert Isanga family raraa reree
Mafuta sawa na Subaru 2.5l. spea ukifunga unasahau, Ni heavy duty popote unapiga. Uchukue chap
 
Navara ina shape ya body lake lipo vizuri ila kama unataka kutumia mjini sio mbaya ila kwa porini itaanza kupiga kelele bati lake na pia Turbo yake inasumbua mara kwa mara nadhani ndio ugonjwa wake mkubwa...Ford na Toyota zina kodi kubwa kuliko hii au Nissani yenye Engine ya ZD 30...
 
Nissan Nivara
Sijui tumwambia ukweli ama tumuache baada ya mwaka awe mshauri kwa wengine
Cut story shot
Ukiweza chukua Hilux double yeyote kaunzia
2005 na kuendelea
Zina engine bora sana na zinavumilia
Spare zipo kila mahali bei nzuri
Mafundi wanazijua vizuri
Kinyume chake unapata kwa hiyo Nissan
(Utasema nimetoa comment general sana)
Lakin bora uzingatie
Ushauri huo
 
Chukua Nissan Navara yenye ingine ya Yd25 2500cc. Navara ipo more comfortable na stability kubwa hakuna pick up ya mjapan ya kumkaribia Navara kwa Stability.

Kwa matumizi ya mjini na Safari ndefu Navara ni zaidi ya pickup. Engine iliyopo kwenye Nissan Hardbody matoleo miaka ya karibuni ni hiyohiyo Yd25. Na Nissan Navara New Model za kuanzia 2022, Nissan Terra zinatumia engine hii ya Yd25 inafanya vizuri
 
Back
Top Bottom