Habari wanajamii, ninauza gari yangu aina ya Nissan Note ya Blue ya mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea km 68,000 tu! Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0686477879, natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.