Butanyata Member Joined Jul 16, 2015 Posts 51 Reaction score 37 Aug 24, 2015 #1 Habari wanajamii, ninauza gari yangu aina ya Nissan Note ya Blue ya mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea km 68,000 tu! Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0686477879, natanguliza shukrani
Habari wanajamii, ninauza gari yangu aina ya Nissan Note ya Blue ya mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri na imetembea km 68,000 tu! Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0686477879, natanguliza shukrani
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Aug 24, 2015 #2 kila kitu umeweka kuweka bei unaona shida
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,304 Aug 24, 2015 #3 Enny said: kila kitu umeweka kuweka bei unaona shida Click to expand... bei amesema million 15
Butanyata Member Joined Jul 16, 2015 Posts 51 Reaction score 37 Aug 24, 2015 Thread starter #4 Mkuu bei ni milioni 8, fixed price!!
TRACE Senior Member Joined Jul 4, 2008 Posts 120 Reaction score 46 Aug 24, 2015 #5 Join Date : 16th July 2015 Location : Dar es Salaam Posts : 6 Rep Power : 307 Likes Received 0 Likes Given 1 Msimlaumu sana huyu ni mgeni hapa jamvini
Join Date : 16th July 2015 Location : Dar es Salaam Posts : 6 Rep Power : 307 Likes Received 0 Likes Given 1 Msimlaumu sana huyu ni mgeni hapa jamvini