Nissan Pathfinder ipoje? SPEA?

Nissan Pathfinder ipoje? SPEA?

Gari ya kigentlemana sana hakuna itakayotoboa hapo ukisimamisha Hiyo Chuma

Kikubwa ufanye service kwa wakati
Ikikupa caution kwenye dashboard peleka Kwa fundi Wako
Usiazime gari Hovyo Kwa watu gari ni Yako endesha wewe mwenyewe

Nunua genuine spear achana na za Bei kitonga

Zingatia sana service yake


Kuhusu upatikanaji wa spear nadhani Nissan spear zimejaaa
 
Back
Top Bottom