Nissan patrol(black panther)

Napenda gari za Nissan zenye engine ya Diesel. Injini ina mungurumo mzito hadi raha. Ila haifai kwenda kuchukulia mtoto wa geti. Maana ukifika mahali, kila mtu anajua. Napenda zaidi injini za Nissan Civilian. Zile injini zina mungurumo mtamu balaa!
Sauti za gari ninazopenda
BMW X3 3.0i
LR/RR V8
Cruiser V8
Prado 2013- diesel ule mluzi wa Turbo ni mtamu balaa
 
Mi nilikua nayachukulia poa sana haya madude kuna moja lilikua la NGo flani walitaka kuniuzia kwa milioni 17 nikachomoa yalikua haya new model kama ya usalama nikajua litanizingua manake safari zangu za mbwinde huwa nataka gari ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…