Nissan Patrol Manual (Stick shift) inauzwa. Gari iko katika hali nzuri, hutumika mara moja moja kwa safari za mikoani. Ina milango 5. Inatumia diesel. Uwezo wa Engine ni cc 4,200. Bei ni Tshs. 11,500,000/-. Gari iko Dar es Salaam, kwa anayehitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0657621427.