Mkuu;
mm nadhani tatizo hili linasababishwa sana sana na hawa CHADEMA
Hebu chunguza kwa makini watu wengi uliopishana nao sana barabarani hasa kipind hiki cha masika.
Nna imani wengi watakua Chadema
Aisee
Hawa jamaa Ni WASALITI sana na wamekosa kabisa uzalendo.
Kwa taarifa yako sasa;
Hawa Chadema wanatumiwa sana na wazungu kuhujumu VYOMBO vyetu vya ndani vya usafiri ili kuneemesha viwanda vya mabepari kule ulaya.
Na kwa sababu;
Chadema Ni wapiga dili wazoefu.
Hapa watakuja na ushaur wa wewe Kuagiza vipuri au gari zima kutoka makampuni ya kwa Mabepari wa ulaya.
Hii yote ili wakapate cha juu 10%
YAAN WAMELAANIWA KABISA KWA KUPIGA MADILI
ILA AWAMU HII;
CHA MOTO WANAKIPATA.
Ushaur wangu;
Nenda kwanza ukaripot polisi kua hao chadema wamehujumu gari yako.
Hapa Mahakama ya mafisadi itawahusu,
Kwa maana kwamba;
Hili moja kwa moja Ni shtaka kubwa sana la
"Uhujumu UCHUMI"
Na NAKUHAKIKISHIA
Wakipatikana na hatia, watakulipa gari yako mpya kabisa "mubhashara" na fidia juu.
Hakika nakwambia SERIOUS mkuu;.
"HII NI VITA KUBWA SANA YA UCHUMI, NI LAZIMA WATZ WOTE TUPAMBANE&TUSHINDE"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
********Utani***************
Nlkua nachangamsha tu kijiwe mkuu.