Waziir Hamad
Senior Member
- Jan 19, 2015
- 102
- 25
Ndo utani gani sasa huoMkuu;
mm nadhani tatizo hili linasababishwa sana sana na hawa CHADEMA
Hebu chunguza kwa makini watu wengi uliopishana nao sana barabarani hasa kipind hiki cha masika.
Nna imani wengi watakua Chadema
Aisee
Hawa jamaa Ni WASALITI sana na wamekosa kabisa uzalendo.
Kwa taarifa yako sasa;
Hawa Chadema wanatumiwa sana na wazungu kuhujumu VYOMBO vyetu vya ndani vya usafiri ili kuneemesha viwanda vya mabepari kule ulaya.
Na kwa sababu;
Chadema Ni wapiga dili wazoefu.
Hapa watakuja na ushaur wa wewe Kuagiza vipuri au gari zima kutoka makampuni ya kwa Mabepari wa ulaya.
Hii yote ili wakapate cha juu 10%
YAAN WAMELAANIWA KABISA KWA KUPIGA MADILI
ILA AWAMU HII;
CHA MOTO WANAKIPATA.
Ushaur wangu;
Nenda kwanza ukaripot polisi kua hao chadema wamehujumu gari yako.
Hapa Mahakama ya mafisadi itawahusu,
Kwa maana kwamba;
Hili moja kwa moja Ni shtaka kubwa sana la
"Uhujumu UCHUMI"
Na NAKUHAKIKISHIA
Wakipatikana na hatia, watakulipa gari yako mpya kabisa "mubhashara" na fidia juu.
Hakika nakwambia SERIOUS mkuu;.
"HII NI VITA KUBWA SANA YA UCHUMI, NI LAZIMA WATZ WOTE TUPAMBANE&TUSHINDE"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
********Utani***************
Nlkua nachangamsha tu kijiwe mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo utani gani sasa huo
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] mm mwenyewe CHADEMAMkuu;
mm nadhani tatizo hili linasababishwa sana sana na hawa CHADEMA
Hebu chunguza kwa makini watu wengi uliopishana nao sana barabarani hasa kipind hiki cha masika.
Nna imani wengi watakua Chadema
Aisee
Hawa jamaa Ni WASALITI sana na wamekosa kabisa uzalendo.
Kwa taarifa yako sasa;
Hawa Chadema wanatumiwa sana na wazungu kuhujumu VYOMBO vyetu vya ndani vya usafiri ili kuneemesha viwanda vya mabepari kule ulaya.
Na kwa sababu;
Chadema Ni wapiga dili wazoefu.
Hapa watakuja na ushaur wa wewe Kuagiza vipuri au gari zima kutoka makampuni ya kwa Mabepari wa ulaya.
Hii yote ili wakapate cha juu 10%
YAAN WAMELAANIWA KABISA KWA KUPIGA MADILI
ILA AWAMU HII;
CHA MOTO WANAKIPATA.
Ushaur wangu;
Nenda kwanza ukaripot polisi kua hao chadema wamehujumu gari yako.
Hapa Mahakama ya mafisadi itawahusu,
Kwa maana kwamba;
Hili moja kwa moja Ni shtaka kubwa sana la
"Uhujumu UCHUMI"
Na NAKUHAKIKISHIA
Wakipatikana na hatia, watakulipa gari yako mpya kabisa "mubhashara" na fidia juu.
Hakika nakwambia SERIOUS mkuu;.
"HII NI VITA KUBWA SANA YA UCHUMI, NI LAZIMA WATZ WOTE TUPAMBANE&TUSHINDE"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
********Utani Aisee**************
Nlkua nachangamsha tu kijiwe.
unit kwenye tank in mpya na wiring from tank to dash ziko vizur Ila ttzo limo kweye dash,sijui nn kinazisumbua nyingi zinaharibika dash na zote case ni gage,upo mkuu?Tatizo in gauge ya tank au ile katika dashboard?
Alafu mbona in kaxi ndogo sana kama wewe in auto electrician kama ulivyosema maana formula take uko wazi sana kupima ya dashboard na ya tank na kufanya continuity ya wire zake eath ya taa na ya gauge kama ziko sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji117] pyu pyu pyu[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379][emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] mm mwenyewe CHADEMA