zhang laoshi JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 434 Reaction score 581 Aug 15, 2021 #1 Habari Nazikubali sana hizi gari, nahitaji moja kati ya hizi ipi ni nzuri katika 1: matumiz ya mafuta (diesel) 2: comfortable safarini 3: uvumilivu View attachment 1893552
Habari Nazikubali sana hizi gari, nahitaji moja kati ya hizi ipi ni nzuri katika 1: matumiz ya mafuta (diesel) 2: comfortable safarini 3: uvumilivu View attachment 1893552
omben JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 818 Reaction score 471 Mar 1, 2023 #3 Chukua hiyo Land Cruiser Sent from my E6883 using JamiiForums mobile app