zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 434
- 581
This is my dream car, mbali na ulaji wa mafuta changamoto yake nyingine ni zipi Kwa waliotumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is my dream car, mbali na ulaji wa mafuta changamoto yake nyingine ni zipi Kwa waliotumia.View attachment 2592304View attachment 2592306
Unasafiri kifua mbele kwakweli Nissan ni zaidi ya gari 🤣 🤣 🤣Y 61 ni bora zaidi na engine zake zinachanganya haraka hiyo Y 60 inatembea kama bata sauti kubwa ila inakua ipo hapo hapo...
Unasafiri kifua mbele kwakweli Nissan ni zaidi ya gari 🤣 🤣 🤣