Nissan patrol

Nissan patrol

Intaplex

Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
22
Reaction score
45
Msaada ndugu zangu gari yangu Nissan patrol engine td 42 inasumbua sana kuwaka nilipeleka pump service ila bado gar haitaki kuwaka. Wap naweza pata fundi mzuri kwa Sasa nipo dar
 
Nenda Tabata matumbi au mitaa ya Temeke mwisho kuna mafundi wa ukweli wa Magari ya diesel
 
Back
Top Bottom