1. weka picha za kutosha
2. ya mwaka gani?
3. kilomita ngapi?
4. imekuwa inamilikiwa na nani mzungu au muhindi au mbongo?
5. imeshagongwa mara ngapi?
6. haijatembea kwa muda gani?
7. kwanini inauzwa?
8. bima inaisha lini?
9. road licence inaisha lini?
10. wewe mtoa tangazo ndie mmiliki au dalali?