Car4Sale Nissan pick up inauzwa

zaitmemee

Senior Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
186
Reaction score
38
Ni ya mwaka 2000, imetembea kilometers 137,000km. TD 42 engine. Suspension safi kabisa, ina Air Condition, tairi mpya. Gari iko katika hali nzuri sana.

Bei 30 million
Tel: 0622 362651

 
Hahahahahaha hiyo bei unapata new model yake na change inabaki hiyo gari chukua 11m
 
Nan akupe Hiyo hela?? Chukua 8mill tuu
 
#nyerereday2018
#bethelegacy
#bringbackourMO
 
Hahahahahahaaa kudata njenje.
Kama hii gari inauzwa M30 an maongezi yapo. Bora hii

Pambana na hali yako kiongozi
 
Hii itakua gari ya Mirathi.

Mtoa mada atakua kadanganywa na wanafamilia kuhusu bei halisi ya hiyo gari.

Hiyo gari haiwez kuuzwa Mil.30

Brand New(registered & fully paid) inapatikana yard kwa Mil.24.

Sembuse hiyo used &Namba A!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…