nissan sio imara na body yake pia haipendi barabara mbovu itawai kuchoka,nenda kwenye polo mkuu,gari ngumu imara na ni nzito ukiwa high way,pia nying ni speed 240 na sijui kama utazimaliza kwa tochi za sasa,haiyumbi ovyo,pia mafuta inatumia kidogo 14/ltr,inategemea na uwendeshaji wako.Nauliza na kuomba ushauri
Gari aina ya Nisaan premere inakuwa na usumbufu upi
in terms of oil consumption na ubora wake kwa ujumla
Je Vockswagen POLO ikoje kwa matumizi ya hapa kwetu misele ya mjini
pia kuhusu mafuta
Naomba nisishauriwe kuhusu TOYOTA.
nissan sio imara na body yake pia haipendi barabara mbovu itawai kuchoka,nenda kwenye polo mkuu,gari ngumu imara na ni nzito ukiwa high way,pia nying ni speed 240 na sijui kama utazimaliza kwa tochi za sasa,haiyumbi ovyo,pia mafuta inatumia kidogo 14/ltr,inategemea na uwendeshaji wako.