Car4Sale Nissan Sunny: Nahitaji kununua gari hii

Car4Sale Nissan Sunny: Nahitaji kununua gari hii

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
201
Reaction score
116
Wakuu,

Nahitaji kununua gari aina ya Nissan Sunny ni gari ndogo salloon.

Je, kwa wanaoifahamu je ina matatizo yoyote hasa katika matengenezo wakuu
 
Gari nzuri sana na very economy haina tatizo nilikuwa nayo zamani sana nikaendesha kwa muda wa miaka 3 bila kubadilili kitu zaidi ya oil na plug
 
Hizo gari ni msala labda inategemea kila mtu na matumizi...
Nissan sunny
Nissan maxima
Nissan murch
Nissan bluebird
Nissan wing
.....zote za mwisho cc2000 ni majanga labda Nissan pick up..nakuendelea lakini saloon pole.
 
Back
Top Bottom