F Forecaster JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 201 Reaction score 116 Aug 18, 2015 #1 Wakuu, Nahitaji kununua gari aina ya Nissan Sunny ni gari ndogo salloon. Je, kwa wanaoifahamu je ina matatizo yoyote hasa katika matengenezo wakuu
Wakuu, Nahitaji kununua gari aina ya Nissan Sunny ni gari ndogo salloon. Je, kwa wanaoifahamu je ina matatizo yoyote hasa katika matengenezo wakuu
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Aug 18, 2015 #2 Gari nzuri sana na very economy haina tatizo nilikuwa nayo zamani sana nikaendesha kwa muda wa miaka 3 bila kubadilili kitu zaidi ya oil na plug
Gari nzuri sana na very economy haina tatizo nilikuwa nayo zamani sana nikaendesha kwa muda wa miaka 3 bila kubadilili kitu zaidi ya oil na plug
Anthony Paschal JF-Expert Member Joined Oct 23, 2013 Posts 513 Reaction score 11 Aug 18, 2015 #3 ukikosa kabisa nunua nissan march
C Chamkorom Member Joined Aug 16, 2015 Posts 22 Reaction score 1 Aug 18, 2015 #4 maguzukauzu said: ukikosa kabisa nunua nissan march Click to expand... Nissan March ndiyo yenyewe, na nipo tayari kukutumia toka hapa Dubai km utaniamini, ni PM tu nikutumie
maguzukauzu said: ukikosa kabisa nunua nissan march Click to expand... Nissan March ndiyo yenyewe, na nipo tayari kukutumia toka hapa Dubai km utaniamini, ni PM tu nikutumie
F Forecaster JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 201 Reaction score 116 Aug 18, 2015 Thread starter #5 black sniper said: Gari nzuri sana na very economy haina tatizo nilikuwa nayo zamani sana nikaendesha kwa muda wa miaka 3 bila kubadilili kitu zaidi ya oil na plug Click to expand... Ok. Kama haina shida ktk matengenezo basi nashukuru mkuu.
black sniper said: Gari nzuri sana na very economy haina tatizo nilikuwa nayo zamani sana nikaendesha kwa muda wa miaka 3 bila kubadilili kitu zaidi ya oil na plug Click to expand... Ok. Kama haina shida ktk matengenezo basi nashukuru mkuu.
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Aug 18, 2015 #6 Hizo gari ni msala labda inategemea kila mtu na matumizi... Nissan sunny Nissan maxima Nissan murch Nissan bluebird Nissan wing .....zote za mwisho cc2000 ni majanga labda Nissan pick up..nakuendelea lakini saloon pole.
Hizo gari ni msala labda inategemea kila mtu na matumizi... Nissan sunny Nissan maxima Nissan murch Nissan bluebird Nissan wing .....zote za mwisho cc2000 ni majanga labda Nissan pick up..nakuendelea lakini saloon pole.
B bantugarage JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 273 Reaction score 47 Aug 18, 2015 #7 Nunua Renault