Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo.
Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa.
Nasikia hata hao VW walitaka kufungua kiwanda Tanzania, sijui tulikwama wapi???
Sasa, tusikwame tena kwa hawa jamaa wa Nissan.
Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa.
Nasikia hata hao VW walitaka kufungua kiwanda Tanzania, sijui tulikwama wapi???
Sasa, tusikwame tena kwa hawa jamaa wa Nissan.